PHILADELPHIA
SCHOOL OF MISSION.
CHUO CHA
MAFUNZO YA HUDUMA-PHILADELPHIA.
PHISOM
Kuwaandaa
watendakazi kwaajili ya mavuno ya nyakati za mwisho.
MUDA MASAA
2:30
MTIHANI WA KUHITIMU KOZI ZA MUHULA WA KWANZA
MBINU
ZA KUJIFUNZA BIBLIA.
NAMBA
YA KOZI PTS 103.
Maelekezo
·
Mtihani huu una sehemu moja tu. jibu
maswali matatu tu.
·
Jibu maswali kama ulivyojifunza katika kozi hii
na kwa umakini.
·
Usafi ni muhimu na utazingatiwa katika utoaji wa
alama.
·
Kumbuka kuandika namba yako ya usajili katika kila karatasi ya majibu.
·
Majibvu yote yaandikwe katika karatasi ya majibu
iliyotolewa.
SEHEMU A: JIBU
MASWALI MATATU TU. (Alama20@1 )
1Chora chati ya mgawo wa sehemu za Biblia agano la kale na
agano jipya.
2.Taja nakala za zamani sana za Biblia zilizopo leo na taja
3 za nakala hizo.
3. Taja tafsiri za zamani za Biblia zilizopo sasa na taja
faida tatu za tafsili hizo.
4. Toa sababu tano kwa nini tunajifunza Biblia.
5.taja kanuni tatu za msingi za kufasili maandiko na hatua
nne za kufasili maandiko matakatifu.
6.Taja kanuni sita
za jumla za kufasili maandiko matakatifu na kasha toa sababu nne kwanini tunajifunza kufasili maandiko
Mtihani mwema.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni